Hosea 5:6 Biblia Habari Njema (BHN)

Watakwenda na makundi yao ya kondoo na ng'ombe,kumtafuta Mwenyezi-Mungu;lakini hawataweza kumpata,kwa sababu amejitenga nao.

Hosea 5

Hosea 5:1-10