Hosea 4:3 Biblia Habari Njema (BHN)

Kwa hiyo, nchi yote ni kame,wakazi wake wote wanaangamiapamoja na wanyama wa porini na ndege;hata samaki wa baharini wanaangamizwa.

Hosea 4

Hosea 4:2-13