Hosea 14:1-2 Biblia Habari Njema (BHN)

1. Enyi Waisraeli,mrudieni Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu.Mmejikwaa kwa sababu ya uovu wenu.

2. Ombeni toba kwake,mrudieni na kumwambia:“Utusamehe uovu wote,upokee zawadi zetu,nasi tutakusifu kwa moyo.

Hosea 14