Hosea 13:4 Biblia Habari Njema (BHN)

Mwenyezi-Mungu asema:“Lakini mimi, Mwenyezi-Mungu, ni Mungu wenu,ambaye niliwatoa nchini Misri;hamna mungu mwingine ila mimi,wala hakuna awezaye kuwaokoeni.

Hosea 13

Hosea 13:1-6