Hosea 10:6 Biblia Habari Njema (BHN)

Kinyago hicho kitapelekwa Ashuru,kama ushuru kwa mfalme mkuu.Watu wa Efraimu wataaibishwa,Waisraeli watakionea aibu kinyago chao.

Hosea 10

Hosea 10:1-12