Hosea 10:5 Biblia Habari Njema (BHN)

Wakazi wa Samaria watatetemekakwa sababu ya ndama wa huko Betheli.Watu wake watamwombolezea ndama huyo,hata makuhani wanaomwabudu watamlilia;kwani fahari ya ndama huyo imeondolewa.

Hosea 10

Hosea 10:1-15