Mioyo yao imejaa udanganyifu.Sasa ni lazima wawajibike kwa hatia yao.Mwenyezi-Mungu atazibomoa madhabahu zaona kuziharibu nguzo zao.