Hosea 10:1 Biblia Habari Njema (BHN)

Waisraeli walikuwa kama mzabibu mzuri,mzabibu wenye kuzaa matunda.Kadiri matunda yalivyozidi kuongezeka,ndivyo walivyozidi kujijengea madhabahu.Kadiri nchi yao ilivyozidi kustawi,ndivyo walivyozidi kupamba nguzo zao za ibada.

Hosea 10

Hosea 10:1-5