Hesabu 26:26-33 Biblia Habari Njema (BHN)

26. Kabila la Zebuluni lilikuwa na jamaa za Seredi, wa Eloni na wa Yaleeli.

27. Hizo ndizo koo za Zebuluni, jumla wanaume 60,500.

28. Kabila la Yosefu baba yao Manase na Efraimu.

29. Kabila la Manase lilikuwa na jamaa ya: Makiri, Gileadi.

30. Yezeri, Heleki,

31. Asrieli, Shekemu,

32. Shemida na Heferi.

33. Selofehadi, mwana wa Heferi hakupata watoto wa kiume bali wa kike tu, nao ni Mala, Noa, Hogla, Milka na Tirza.

Hesabu 26