Habakuki 1:13 Biblia Habari Njema (BHN)

Wewe ni mtakatifu kabisa, huwezi kutazama uovu,huwezi kustahimili kamwe kuona mabaya.Mbona basi wawaona wafanya maovu na kunyamaza,kwa nini unanyamaza waovu wanapowamalizawale watu walio waadilifu kuliko wao?

Habakuki 1

Habakuki 1:8-17