Habakuki 1:12 Biblia Habari Njema (BHN)

“Je, wewe si ndiwe Mwenyezi-Mungu,tangu kale na kale?Wewe ndiwe Mungu wangu, Mtakatifu wangu, usiyekufaEe Mwenyezi-Mungu, umewateua Wakaldayo watuhukumu;Ewe Mwamba, umewaimarisha ili watuadhibu!

Habakuki 1

Habakuki 1:8-17