Amosi 9:6 Biblia Habari Njema (BHN)

Mwenyezi-Mungu amejenga makao yake mbinguni,nayo dunia akaifunika kwa anga;huyaita maji ya bahari,na kuyamwaga juu ya nchi kavu.Mwenyezi-Mungu, ndilo jina lake!

Amosi 9

Amosi 9:1-7