Amosi 9:5 Biblia Habari Njema (BHN)

Bwana Mwenyezi-Mungu wa majeshi,anaigusa ardhi nayo inatetemekana wakazi wake wanaomboleza;dunia nzima inapanda na kushukakama kujaa na kupwa kwa mto Nili wa Misri.

Amosi 9

Amosi 9:1-11