Amosi 9:14 Biblia Habari Njema (BHN)

Nitarekebisha hali ya watu wangu Waisraeli.Watajenga miji yao iliyoharibiwa na kuishi humo;watapanda mizabibu na kunywa divai yake;watalima mashamba na kula mazao yake.

Amosi 9

Amosi 9:9-15