Amosi 7:2 Biblia Habari Njema (BHN)

Niliwaona nzige hao wakila na kumaliza kila jani katika nchi. Ndipo nikasema:“Ee Bwana Mwenyezi-Mungu, nakusihi utuhurumie!Wazawa wa Yakobo watawezaje kuishi?Wao ni wadogo mno!”

Amosi 7

Amosi 7:1-6