Amosi 7:17 Biblia Habari Njema (BHN)

Kwa hiyo, Mwenyezi-Mungu asema hivi:‘Mkeo atakuwa malaya mjini,na wanao wa kiume na kike watauawa vitani.Ardhi yako itagawanywa na kupewa wengine,nawe binafsi utafia katika nchi najisi,nao Waisraeli hakika watapelekwa uhamishoni,mbali kabisa na nchi yao.’”

Amosi 7

Amosi 7:12-17