Amosi 7:16 Biblia Habari Njema (BHN)

Nawe basi, ewe Amazia,sikiliza neno la Mwenyezi-Mungu:Wewe waniambia nisitoe unabii dhidi ya Israeli,wala nisihubiri dhidi ya wazawa wa Isaka.

Amosi 7

Amosi 7:7-17