Amosi 2:15 Biblia Habari Njema (BHN)

Wapiga upinde vitani hawatastahimili;wapiga mbio hodari hawataweza kujiokoa,wala wapandafarasi hawatayanusurisha maisha yao.

Amosi 2

Amosi 2:14-16