Amosi 1:9 Biblia Habari Njema (BHN)

Mwenyezi-Mungu asema hivi:“Watu wa Tiro wametenda dhambi tena na tena,kwa hiyo sitaacha kuwaadhibu.Walichukua mateka kabila zima hadi Edomu,wakaukiuka mkataba wa urafiki waliokuwa wamefanya.

Amosi 1

Amosi 1:5-14