Amosi 1:8 Biblia Habari Njema (BHN)

Nitawang'oa wakazi wa mji wa Ashdodi,pamoja na mtawala wa Ashkeloni.Nitanyosha mkono dhidi ya Ekroni,nao Wafilisti wote waliosalia wataangamia.Mimi Mwenyezi-Mungu nimesema.”

Amosi 1

Amosi 1:1-9