2 Wakorintho 11:21 Biblia Habari Njema (BHN)

Kwa aibu nakubali kwamba sisi tulikuwa dhaifu.Iwe iwavyo, lakini kama kuna mtu yeyote anayethubutu kujivunia kitu – nasema kama mtu mpumbavu – mimi nathubutu pia.

2 Wakorintho 11

2 Wakorintho 11:11-25