2 Mambo Ya Nyakati 7:7 Biblia Habari Njema (BHN)

Basi, mfalme Solomoni akaiweka wakfu sehemu ya katikati ya ua uliokuwa mbele ya nyumba ya Mwenyezi-Mungu, kwani hapo ndipo alipotolea sadaka za kuteketezwa na mafuta ya sadaka za amani, kwa sababu ile madhabahu ya shaba haikutosha kwa sadaka hizo zote.

2 Mambo Ya Nyakati 7

2 Mambo Ya Nyakati 7:3-9