2 Mambo Ya Nyakati 35:14 Biblia Habari Njema (BHN)

Baadaye, Walawi wakajiandalia sehemu zao na za makuhani kwa maana makuhani wa uzao wa Aroni walikuwa wanashughulika na utoaji wa sadaka za kuteketeza, na vipande vya mafuta, mpaka usiku; kwa hiyo Walawi waliandaa kwa ajili yao wenyewe na kwa ajili ya makuhani wa uzao wa Aroni.

2 Mambo Ya Nyakati 35

2 Mambo Ya Nyakati 35:6-20