1 Wafalme 7:46 Biblia Habari Njema (BHN)

Vitu hivyo vyote mfalme alivitengeneza katika uwanda wa Yordani, sehemu ya udongo wa mfinyanzi iliyokuwa kati ya Sukothi na Sarethani.

1 Wafalme 7

1 Wafalme 7:36-51