1 Samueli 17:51 Biblia Habari Njema (BHN)

Basi, akaenda mbio, akasimama juu ya Goliathi, akaufuta upanga wa Goliathi alani mwake, akamuua Goliathi kwa kumkata kichwa chake.Wafilisti walipoona kuwa shujaa wao ameuawa, wakatimua mbio.

1 Samueli 17

1 Samueli 17:46-53