1 Samueli 16:11 Biblia Habari Njema (BHN)

Halafu akamwambia, “Je, wanao wote wako hapa?”Yese akajibu, “Bado yuko mdogo, lakini amekwenda kuchunga kondoo.” Samueli akamwambia, “Mtume mtu amlete; sisi hatutaketi chini, mpaka atakapokuja hapa.”

1 Samueli 16

1 Samueli 16:2-14