1 Samueli 13:7 Biblia Habari Njema (BHN)

Wengine walivuka mto Yordani mpaka katika nchi ya Gadi na nchi ya Gileadi.Lakini Shauli alikuwa bado huko Gilgali na watu wote walimfuata wakitetemeka.

1 Samueli 13

1 Samueli 13:1-15