1 Mambo Ya Nyakati 6:2-8 Biblia Habari Njema (BHN)

2. Kohathi alikuwa na wana wanne: Amramu, Ishari, Hebroni na Uzieli.

3. Amramu alikuwa na wana wawili: Aroni na Mose, na binti mmoja jina lake Miriamu.Aroni alikuwa na wana wanne: Nadabu, Abihu, Eleazari na Ithamari.

4. Eleazari alimzaa Finehasi, Finehasi akamzaa Abishua,

5. Abishua akamzaa Buki, Buki akamzaa Uzi,

6. Uzi akamzaa Zerahia, Zerahia akamzaa Merayothi,

7. Merayothi akamzaa Amaria, Amaria akamzaa Ahitubu,

8. Ahitubu akamzaa Sadoki, Sadoki akamzaa Ahimaasi,

1 Mambo Ya Nyakati 6