1 Mambo Ya Nyakati 3:1 Biblia Habari Njema (BHN)

Hawa ndio wana wa mfalme Daudi waliozaliwa wakati alipokuwa huko Hebroni:Amnoni, mzaliwa wake wa kwanza; mama yake aliitwa Ahinoamu, Myezreeli; wa pili Danieli ambaye mama yake alikuwa Abigaili, Mkarmeli;

1 Mambo Ya Nyakati 3

1 Mambo Ya Nyakati 3:1-8