1 Mambo Ya Nyakati 25:7-24 Biblia Habari Njema (BHN)

7. Idadi yao pamoja na wale ndugu zao Walawi waliofundishwa kumwimbia Mwenyezi-Mungu, wote waliokuwa stadi, ilikuwa 288.

8. Wote, wakubwa kwa wadogo, waalimu kwa wanafunzi, walitumia kura katika kupanga kazi zao.

9. Kura ya 1 ilimwangukia Yosefu wa jamaa ya Asafu; ya 2 Gedalia pamoja na ndugu zake na wanawe kumi na wawili;

10. ya 3 Zakuri pamoja na wanawe na ndugu zake kumi na wawili;

11. ya 4 ilimwangukia Seri pamoja na wanawe na ndugu zake kumi na wawili;

12. ya 5 Nethania; pamoja na wanawe na ndugu zake kumi na wawili;

13. ya 6 Bukia; pamoja na wanawe na ndugu zake kumi na wawili;

14. ya 7 Asharela; pamoja na wanawe na ndugu zake kumi na wawili;

15. ya 8 Yeshaya; pamoja na wanawe na ndugu zake kumi na wawili;

16. ya 9 Matania; pamoja na wanawe na ndugu zake kumi na wawili;

17. ya 10 Shimei; pamoja na wanawe na ndugu zake kumi na wawili;

18. ya 11 Azareli; pamoja na wanawe na ndugu zake kumi na wawili;

19. ya 12 Hashabia; pamoja na wanawe na ndugu zake kumi na wawili;

20. ya 13 Shebueli; pamoja na wanawe na ndugu zake kumi na wawili;

21. ya 14 Matithia; pamoja na wanawe na ndugu zake kumi na wawili;

22. ya 15 Yeremothi; pamoja na wanawe na ndugu zake kumi na wawili;

23. ya 16 Hanania; pamoja na wanawe na ndugu zake kumi na wawili;

24. ya 17 Yoshbekasha; pamoja na wanawe na ndugu zake kumi na wawili;

1 Mambo Ya Nyakati 25