1 Mambo Ya Nyakati 25:29-31 Biblia Habari Njema (BHN)

29. ya 22 Gidalti; pamoja na wanawe na ndugu zake kumi na wawili,

30. ya 23 Mahaziothi; pamoja na wanawe na ndugu zake kumi na wawili,

31. ya 24 ilimwangukia Romamti-ezeri; pamoja na wanawe na ndugu zake kumi na wawili.

1 Mambo Ya Nyakati 25