1 Mambo Ya Nyakati 11:5 Biblia Habari Njema (BHN)

Wakazi wa Yebusi walimwambia Daudi, “Hutaingia katika mji huu.” Hata hivyo, Daudi aliiteka ngome ya Siyoni, yaani mji wa Daudi.

1 Mambo Ya Nyakati 11

1 Mambo Ya Nyakati 11:1-7