Zab. 98:7-8 Swahili Union Version (SUV) Bahari na ivume na vyote viijazavyo,Ulimwengu nao wanaokaa ndani yake. Mito na ipige makofi,Milima na iimbe pamoja