Zab. 97:1-3 Swahili Union Version (SUV)

1. BWANA ametamalaki, nchi na ishangilie,Visiwa vingi na vifurahi.

2. Mawingu na giza vyamzunguka,Haki na hukumu ndio msingi wa kiti chake.

3. Moto hutangulia mbele zake,Nao huwateketeza watesi wake pande zote.

Zab. 97