48. Ni mwanamume gani atakayeishi asione mauti,Atakayejiokoa nafsi yake na mkono wa kuzimu?
49. Bwana, zi wapi fadhili zako za kwanza,Ulizomwapia Daudi kwa uaminifu wako?
50. Ee Bwana, ukumbuke,Wanavyosimangwa watumishi wako;Jinsi ninavyostahimili kifuani mwanguMasimango ya watu wengi.
51. Ambayo adui zako wamesimanga, Ee BWANA,Naam, wamezisimanga hatua za masihi wako.