3. Maana nafsi yangu imeshiba taabu,Na uhai wangu umekaribia kuzimu.
4. Nimehesabiwa pamoja nao washukao shimoni;Nimekuwa kama mtu asiye na msaada.
5. Miongoni mwao waliokufa nimetupwa,Kama waliouawa walalao makaburini.Hao ambao Wewe huwakumbuki tena,Wametengwa mbali na mkono wako.