Unihifadhi nafsi yangu,Maana mimi ni mcha Mungu.Wewe uliye Mungu wangu,Umwokoe mtumishi wako anayekutumaini.