Zab. 85:11-12 Swahili Union Version (SUV)

11. Kweli imechipuka katika nchi,Haki imechungulia kutoka mbinguni.

12. Naam, BWANA atatoa kilicho chema,Na nchi yetu itatoa mazao yake.

Zab. 85