Kwa kuwa BWANA, Mungu, ni jua na ngao,BWANA atatoa neema na utukufu.Hatawanyima kitu chemaHao waendao kwa ukamilifu.