15. Na mche ule ulioupandaKwa mkono wako wa kuume;Na tawi lile ulilolifanyaKuwa imara kwa nafsi yako.
16. Umechomwa moto; umekatwa;Kwa lawama ya uso wako wanapotea.
17. Mkono wako na uwe juu yakeMtu wa mkono wako wa kuume;Juu ya mwanadamu uliyemfanyaKuwa imara kwa nafsi yako;
18. Basi hatutakuacha kwa kurudi nyuma;Utuhuishe nasi tutaliitia jina lako.