Jina lake na lidumu milele,Pindi ling’aapo jua jina lake liwe na wazao;Mataifa yote na wajibariki katika yeye,Na kumwita heri.