Zab. 71:1-2 Swahili Union Version (SUV) Nimekukimbilia Wewe, BWANA,Nisiaibike milele. Kwa haki yako uniponye, uniopoe,Unitegee sikio lako, uniokoe.