Waaibike, wafedheheke,Wanaoitafuta nafsi yangu.Warudishwe nyuma, watahayarishwe,Wapendezwao na shari yangu.