Basi adui na anifuatie,Na kuikamata nafsi yangu;Naam, aukanyage uzima wangu,Na kuulaza utukufu wangu mavumbini.