Zab. 44:23-25 Swahili Union Version (SUV)

23. Amka, Bwana, mbona umelala?Ondoka, usitutupe kabisa.

24. Mbona unatuficha uso wako,Na kusahau kuonewa na kudhulumiwa kwetu?

25. Maana nafsi yetu imeinama mavumbini,Tumbo letu limegandamana na nchi.

Zab. 44