11. Kwa neno hili nimejua ya kuwa wapendezwa nami,Kwa kuwa adui yangu hasimangi kwa kunishinda.
12. Nami katika ukamilifu wangu umenitegemeza,Umeniweka mbele za uso wako milele.
13. Na atukuzwe BWANA, Mungu wa Israeli,Tangu milele hata milele. Amina na Amina.