Nami nalisema kwa haraka yangu,Nimekatiliwa mbali na macho yako;Lakini ulisikia sauti ya dua yanguWakati nilipokulilia.