Zab. 28:7 Swahili Union Version (SUV)

BWANA ni nguvu zangu na ngao yangu.Moyo wangu umemtumaini,Nami nimesaidiwa;Basi, moyo wangu unashangilia,Na kwa wimbo wangu nitamshukuru.

Zab. 28

Zab. 28:1-8