Zab. 26:9-11 Swahili Union Version (SUV)

9. Usiiondoe nafsi yangu pamoja na wakosaji,Wala uhai wangu pamoja na watu wa damu.

10. Mikononi mwao mna madhara,Na mkono wao wa kuume umejaa rushwa.

11. Ila mimi nitakwenda kwa ukamilifu wangu;Unikomboe, unifanyie fadhili.

Zab. 26