Zab. 21:11-12 Swahili Union Version (SUV)

11. Madhali walinuia kukutenda mabaya,Waliwaza hila wasipate kuitimiza.

12. Kwa maana utawafanya kukupa kisogo,Kwa upote wa uta wako ukiwaelekezea mishale.

Zab. 21